Staa wa Bongo,Wema Isaac Sepetu 'Beautiful Onyinye' akiongea na mashabiki wake (hawapo pichani) waliofika katika shoo yake ya funga mwaka usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi waMatei Lounge Dodoma.
Sehemu ya umati wa watu waliojitokezaUkumbi waMatei Lounge Dodoma.
Msanii wa Bongo Fleva anayesimamiwa na Wema Sepetu kupitia Endless Fame 'Mirror' akifanya yake.
Wema Sepetu (katikati) akicheza na wasanii wake.
Mmoja wa wasanii chipukizi (kushoto) wa Dodoma akiongea na Wema wakati wa kusaka vipaji.
Staa wa sinema Bongo, Aunt Ezekielakiwa amemshika mkonoPetit Man (kulia) ambaye ni mfanyakazi wa Wema Sepetu.
0 comments:
Chapisha Maoni