TUNDA MAN, CHID BENZ WAFUNIKA DAR LIVE ♠ Posted by Unknown at 23:17 Tunda Man akiwapagawisha mashabiki Dar Live. Ilikuwa ni nyomi ya kufa mtu.Tunda Man na Chid Benz wakiwapa mzuka mashabiki.Tunda Man akicheza na shabiki wake.Chid Benz akishoo love na Isha Mashauzi.
0 comments:
Chapisha Maoni