UPEPO MKALI ENEO LA POSTA DAR

♠ Posted by Unknown at 08:00
KAMERA ya GPL imeshuhudia   uzio wa mabati uliozungushiwa katika kiwanja kimoja kilichopo Posta barabara ya Samora ukianguka baada ya upepo mkali kuvuma. Uzio huo haukuleta madhara yoyote kwa wapita njia na wale waliokuwa jirani na eneo hilo
.

0 comments:

Chapisha Maoni