♠ Posted by Unknown at 07:58
TAKRIBANI
watu 21 wanahofiwa kupoteza maisha baada ya magari mawili ya abiria
kugongana uso kwa uso leo majira ya saa 5 asubuhi mkoani Mwanza.
Ajali hiyo
imelihusisha basi la J4 lililokuwa likitoka Mwanza kwenda Sirari
lililogongana na gari aina ya Coaster eneo la Magu mkoani Mwanza.
0 comments:
Chapisha Maoni