♠ Posted by Unknown at 16:19
Na Gladness Mallya
MSANII wa filamu Bongo, Tiko Hassan amesema ameamua kuachana na tabia ya
kuwa
kimapenzi na waume za watu kwani ameona wanachosha na uhusiano huo hauna
uhuru tofauti na ule wa aliye singo.MSANII wa filamu Bongo, Tiko Hassan amesema ameamua kuachana na tabia ya
Msanii wa filamu Bongo, Tiko Hassan.
Akipiga stori na paparazi wetu, Tiko alisema ameamua kuachana na
uhusiano wa kimapenzi na waume za watu kwani alikuwa na mume wa mtu
lakini hakuona faida yoyote zaidi ya kukosa uhuru kutokana na kuhofia
kubambwa na mwenye mali.“Nimeamua kuachana kabisa na waume za watu kwani hakuna raha yoyote, yaani nilikuwa nakosa uhuru kabisa wa kujiachia na mpenzi wangu huyo hivyo kwa sasa nimestaafu, sitaki tena kuwa na mume wa mtu,” alisema Tiko.
Posted by Mr.Primeon August 22, 2014


0 comments:
Chapisha Maoni