♠ Posted by Unknown at 21:45
Baadhi ya watu wakishuhudia ajali ya gari ndogo na mwendesha bodaboda.
Pikipiki ikiwa imelazwa pembeni ya barabara.
Gari likiwa limepaki pembeni kwa ajili ya maelewano kati ya dereva wa gari na bodaboda.
Mtu mmoja ambaye jina lake halikufahamika amenusurika kufa baada ya
kuligonga gari dogo, tukio hilo limetokea maeneo ya katikati ya Boma na
Msimbazi, jijini Dar es Salaam.Katika ajali hiyo hakuna aliyeumia kwa sababu ya mwendo mdogo waliokuwa wanaendesha, ingawa pikipiki na sehemu ya gari viriharibika.
Posted by Mr.Prime on August 24, 2014

0 comments:
Chapisha Maoni