TAARIFA KWA WANAFUNZI WA COLLEGE OF INF UNV OF DODOMA

♠ Posted by Unknown at 23:57
Ikiwa uko Dar,leo saa 5 asubuhi,kutakuwa na zoezi la kumuaga mwanafunzi mwenzetu wa INFO,KIGONELA WILSON hospital kuu ya Taifa mwimbili.
    TAFADHALI MTAARIFU NA MWINGINE.
Pia kwa atakayekuwa tayari kusafiri hadi MOROGORO kwa mazishi na kurudi usafiri upo bila gharama"kwa pa1 tuonyeshe upendo".
 Tuoneshe moyowa upendo ktk kumcndikiza  ndugu yetu kwenye safari yake ya mwisho.
             MUNGU ametoa na MUNGU  alitwaa jina la MUNGU liimidiwee,AMINA.

0 comments:

Chapisha Maoni