♠ Posted by Unknown at 08:07
Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akisaini kitabu cha maombolezo.
Jaji Mkuu Mohamed Othman Chande akitoa pole kwa mwanafamilia, nyuma yake ni Mkuu wa Mkoa wa Dar, Said Mecky Sadick.
Kushoto
ni Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumayi, Joseph Warioba, Jaji Mkuu
Mohamed Athuman Chande pamoja Na Waziri Mkuu Pinda wakiwa msibani.


Jeneza la marehemu Jaji Makame likibebwa tayari kuingizwa kwenye gari.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amewaongoza Watanzania kuuaga mwili wa
aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Lewis
Makame ambao umeagwa leo katika Viwanja vya Karimjee na kisha kupelekwa
katika Kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano Upanga kwa maombi na
kisha kusafirishwa kuelekea Muheza mkoani Tanga kwa ajili ya mazishi.

0 comments:
Chapisha Maoni