♠ Posted by Unknown at 16:46
WATU watatu wameuawa huku wengine wakijeruhiwa baada ya
majambazi kulipua kwa bomu gari walilokuwa wakisafiria kutoka Kilelema kwenda Kasulu mkoani Kigoma leo asubuhi. Inasemekana kuwa majambazi hayo yaliamua kuilipua kwa bomu gari hilo baada ya dereva wake kukaidi amri ya kulisimamisha gari hilo.
Posted by Mr.Prime on August 22, 2014

0 comments:
Chapisha Maoni