HII NDIYO JET ALIYONUNUA DAVIDO

♠ Posted by Unknown at 00:59

Davido akipozi na Private Jet yake.
STAA wa muziki kutoka Nigeria, David Adedeji Adeleke 'Davido' amezidi kuudhibitishia ulimwengu kuwa kweli muziki umemlipa baada ya kununua Private Jet hivi karibuni kwa ajili ya
safari zake mbalimbali.

0 comments:

Chapisha Maoni