FAINALI MISS TEMEKE 2014 KUFANYIKA AGOSTI 22

♠ Posted by Unknown at 15:29


Vimwana wa Miss Temeke 2014 wakiwa kwenye pozi la pamoja ikiwa ni sehemu ya maandalizi yao ya
kuelekea kwenye kinyang'anyiro chao kitakachofanyika kwenye Ukumbi wa TCC, Chang'ombe jijini Dar es Salaam Agosti 22, 2014. Jumla ya washiriki 17 watapanda jukwaani siku hiyo kuwania taji hilo.
Warembo hao wakitembea kwa mwendo wa madaha.
                                        
                                                    Wakiwa wamepozi wenyewe.

                                    Posted by Mr.Prime on August 19, 2014

0 comments:

Chapisha Maoni