♠ Posted by Unknown at 08:21
Stori: Musa Mateja
MTANGAZAJI wa Clouds Redio na TV, Fatuma Hassan ‘DJ Fetty’, juzikati alijikuta akitwangana makonde na
mrembo mmoja ambaye jina lake halikuweza
kufahamika mara moja baada ya kupishana kauli kwenye ukumbi mmoja wa
starehe pande za Kahama, Shinyanga.MTANGAZAJI wa Clouds Redio na TV, Fatuma Hassan ‘DJ Fetty’, juzikati alijikuta akitwangana makonde na
Mtangazaji wa Clouds Redio na TV, Fatuma Hassan ‘DJ Fetty
Katika tukio hilo, Fetty aliyekuwa kwenye ‘tour’ ya Serengeti Fiesta
alizama ukumbini hapo usiku na baada ya muda mfupi paparazi wetu
alishangaa kumuona akizichapa na mrembo huyo ikidaiwa walizinguana, hata
hivyo waliamuliwa kabla mambo hayajawa mabayaw.Ziara ya Tamasha la Fiesta kesho itahamia Tanga ambapo wasanii kibao wataangusha burudani ndani ya Uwanja wa Mkwakwani.


0 comments:
Chapisha Maoni