COUNTRY BOY ATUA GLOBAL TV ONLINE

♠ Posted by Unknown at 08:17


Country Boy ndani ya studio za Global TV Online.

Country Boy akipozi na presenta wa Global TV Online, Pamela Daffa 'Pam D'.
Country Boy (katikati) akipozi na Pam D (kushoto) na Mhariri wa Gazeti la Ijumaa Wikienda, Sifael Paul (kulia).
Country Boy na Pam D wakishow love ndani ya studio za Global TV Online.
STAA wa muziki wa Hip hop Bongo, Country Boy, leo ametinga katika studio za Global TV Online na kufanya mahojiano yatakayoruka hivi karibuni katika tv hiyo.
Akiwa ndani ya studio hizo, msanii huyo amefunguka mambo kibao ya muziki ambayo mtayapata hivi karibuni.

0 comments:

Chapisha Maoni